MATAIFA ya Ulaya yanaingia kwenye Wiki ya Kalenda ya FIFA ya Mechi za Kirafiki za Kimataifa ambapo Ligi maarufu huko husitishwa.
Mechi hizi za Kirafiki zitaanza Jumatano Machi 23 na kuisha Jumanne Machi 29 huku baadhi ya Timu hizo zikijitayarisha kwa Fainali za Mataifa ya Ulaya, EURO 2016, zinazoanza Juni huko France na pia ikiwa ni matayarisho yao ya Mechi za Mchujo kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia za huko Russia za Mwaka 2018.
Kwenye Wiki hii ya Mechi hizi za Kimataifa za Kirafiki zipo Mechi kadhaa za mvuto zinazokutanisha Vigogo kama zile za Italy v Spain, Netherlands v France, Germany v England, Germany v Italy na England v Netherlands.
MECHI ZA KIMATAIFA ZA KIRAFIKI
RATIBA
**Saa za Bongo
Jumatano Machi 23
2000 Croatia v Israel
2000 Slovenia v Macedonia
2200 Gibraltar v Liechtenstein
2200 Romania v Lithuania
2245 Poland v Serbia
Alhamisi Machi 24
1700 Malta v Moldova
2000 Estonia v Norway
2000 Greece v Montenegro
2200 Denmark v Iceland
2200 Ukraine v Cyprus
2245 Czech Rep v Scotland
2245 Italy v Spain
2245 Turkey v Sweden
2245 Wales v Northern Ireland
Ijumaa Machi 25
1800 Armenia v Belarus
2215 Luxembourg v Bos-Herze
2230 Slovakia v Latvia
2245 Netherlands v France
2245 Republic of Ireland v Switzerland
2345 Portugal v Bulgaria
Jumamosi Machi 26
1900 Azerbaijan v Kazakhstan
1900 Russia v Lithuania
1930 Austria v Albania
1930 Poland v Finland
2000 Hungary v Croatia
2245 Germany v England
Jumapili Machi 27
2145 Romania v Spain
Jumatatu Machi 28
1800 Andorra v Moldova
2000 Liechtenstein v Faroe Islands
2100 Ukraine v Wales
2145 Northern Ireland v Slovenia
Jumanne Machi 29
1900 Estonia v Serbia
1900 Montenegro v Belarus
2000 Macedonia v Bulgaria
2030 Greece v Iceland
2100 Georgia v Kazakhstan
2100 Gibraltar v Latvia
2100 Norway v Finland
2115 Luxembourg v Albania
2130 Austria v Turkey
2130 Sweden v Czech Rep
2130 Switzerland v Bos-Herze
2145 Belgium v Portugal
2145 Germany v Italy
2145 R. of Ireland v Slovakia
2200 England v Netherlands
2200 France v Russia
2200 Scotland v Denmark
No comments:
Post a Comment