Msanii huyo wa Bongo Fleva ambaye ameanza ziara hiyo jumamosi iliyopita FrankFurt, Ujerumani, anatarajia kufanya show nane barani humo.
Atafanya show kwenye majiji mbalimbali ikiwemo majiji ya Oslow na Bergen yote ya Norway, Stockholm ya Sweden, Bruxelles ya Belgium, Stuttgart ya German, Helsink ya Finland na jiji la Copenhagen, Denamark.
Ni wazi show hizo zitachukua muda mrefu na msanii huyo ameamua kuondoka na familia yake nzima, ikiwemo Mama yake, Mpenzi wake Zari na binti yake Tiffah.
Kwenye show ya kwanza ambayo ameifanya FrankFurt, Ujerumani imekuwa na mafanikio zaidi kiasi cha ukumbi aliofanyia kujaa hadi baadhi ya mashabiki kuzuiliwa kuingia,
No comments:
Post a Comment