Bosi wa lebel kubwa Nigeria ‘HKN’ ambaye pia ni msanii Davido
ameandikwa na jarida la Rolling Stone kuwa miongoni mwa wasanii 25
wakali wa kutazamwa.
Davido aliandikwa kwenye jarida la Fader Fort kwenye misingi hii
ambayo pia jarida la Rolling Stone limetumia ya “25 Artists You Need To
See”.
ng STone wamesema haya >>Toka Davido atoke na wimbo wa “Dami
Duro,” mwaka 2012 amekuwa msanii mkubwa zaidi Afrika akimiliki dili la
Song na sasa inaonekana atakuwa msanii mkubwa duniani, kwa masikio ya
wamarekani anasikika kama anatofautiha muziki wa uptempo beats, R&B
melodies na hip-hop akichanganya na muziki wa Afrika, hizi ndio kazi
zinazoshika nafasi ya juu kwenye chati za Billboard Hot 100, album yake
ijayo Baddest itakuwa na msanii kama Future na hii itakuwa mtihani
mkubwa kwa wasanii wa Afrika wanaotamani soko la Marekani“.
No comments:
Post a Comment