Monday, 21 March 2016

Picha,Drake na Rihanna walivyotimiza ndoto ya mtoto mwenye saratani.

drake-rihanna-make-a-wish
Drake na Rihanna wanaotamba na wimbo wao wa “Work” wametimiza ndoto za mtoto mdogo mwenye ugonjwa wa saratani kwa kwenda kumsalimia kama alivyomba mtoto huyu.
Kupitia taasisi ya Make-A-Wish Foundation mtoto Megan aliletwa back stage kwenye show ya ziara ya Rihanna ya Anti na alipata nafasi ya kuongea na kupiga picha na mastaa hawa.
drake-rihanna-make-a-wish 2 drake-rihanna-make-a-wish 3 drake-rihanna-make-a-wish 4

No comments:

Post a Comment