Thursday, 17 March 2016

Chris Brown atangaza ujio wa Documentary yake ‘Welcome to My Life’.

chris-brown-drais


Chris Brown anatayarisha “official documentary” iliyopewa jina la Welcome to My Life. Documentary hii imetayarishwa na muongozaji Andrew Sandler na kutayarishwa na Riveting Entertainment.
Documentary ya ‘Welcome to My Life’ itahusu maisha ya Chris Brown kutoka kuwa msanii anayependwa zaidi mpaka kuwa msanii mwenye maadui wengi zaidi Marekani. >> “He went from being America’s sweetheart to public enemy number one.”

No comments:

Post a Comment