Thursday, 18 February 2016

Rais Magufuli Apiga Marufuku Uingizwaji wa Sukari toka Ng'ambo ili Kulinda viwanda vya Ndani na kuvutia wawekezaji



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na makundi mbalimbali yaliyoshiriki katika kampeni za  uchaguzi na kutangaza rasmi kupiga marufuku uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi ili kulinda na kuviendeleza viwanda vya hapa nchini



No comments:

Post a Comment