Wednesday, 17 February 2016

NEW SONG: Fm academia – ‘Dada wewe’ {Official Video}

Image result for FM ACADEMIABand ya muziki wa Dance hapa nchini maarufu kama FM Acadimia imeachia video ya wimbo wao mpya ambao unaitwa “Dada wewe” Tumia dakika zako kadhaa kuitazama hii video hapa ukimaliza please tunakuomba usibanduke kwenye tovuti yetu coz bado tunaendelea kukutaarifu yaliyo mengi zaidi.


No comments:

Post a Comment