Monday, 18 January 2016

Uchambuzi wa Filamu 10 bora zaidi mwaka 2015

Image result for sign 2015

Mwaka unavyoisha ni vizuri kuchukua yale yote mazuri na mabaya kama funzo ili yakusaidie katika maamuzi yako mwaka unaofuata isipokuwa movies, samahani makala hii ni ya kiswahili ila niataumia neno movie badala ya filamu kuonyesha msisitizo sababu tunazungumzia Hollywood na Bollywood. Kama nilivyosema kila mwaka kuna kuwa na movies kibao hatuwezi kuzihifadhi zote kwa hiyo ni vizuri kuchagua movies za kuvuka nazo mwaka zilizobaki si bahati yao. Wanao nifahamu wanasema mimi mara nyingine ni mbishi sijui sababu nina umakonde kidogo ila si ishu kuondoa ubishani nimeamua kutoa orodha ya movie 10 bora ndani ya mwaka 2015 ila ukiwa hauna angalau movie 5 zilizopo hapa kwenye orodha yako binafsi ya movie 10 bora sasa wewe ndio unatafuta ubishi.

Kabla ya kuanza ningependa kutoa angalizo pale unapochagua movie zako, usichague movie za aina moja jaribu kuchanganya, comedy, action na drama kidogo pia kuwa muwazi moyoni na sababu ya kuichagua hiyo movie kama ni ya kiufundi, unampenda huyo mwigizaji au ilikuwa umetoka out na mpenzi wako so hiyo movie inakukumbusha ule wakati mnakula “good time”na sio movie yenyewe. Tuanze countdown kama ifuatavyo.
.                                                                                 10

 
 
Movie hii ni biographical drama imetengenezwa chini ya director F. Gary Gray inaonyesha historia ya kupanda na kushuka kwa kundi la hip hop la N.W.A kutoka Compton, California. Jina la hii movie limetokana na jina ya album yao ya kwanza iliyotoka mwaka 1988, movie hii imechezwa na  O’Shea Jackson, Jr aliyeigiza kama Ice Cube ambaye ni baba yake mzazi wengine ni Corey Hawkins kama Dr. DreJason Mitchell kama Eazy-E, na Paul Giamatti kama meneja wao Jerry Heller. Producer wa movie hii niIce Cube, Dr. Dre, na majane wa Eazy-E , Tomica Woods-Wright.
Movie hii imechuku namba 10 kwenye orodha hii sababu ya jinsi stori za maisha ya vijana hawa yalivyoweza kuonyeshwa binafsi hadi walivyokuwa kama kundi, ingawa wataalamu wa mambo wanasema kuna mengi yameachwa. Wengi tunapenda muziki wa hip hop, movie hii inatuonyesha harakati za mwanzo kabisa zilivyokuwa, ubaguzi wa rangi na hatari ya magonjwa kama UKIMWI.Pia casting iliyofanyika kuwapa waigizaji hawa ilikuwa ni nzuri na O’Shea Jackson, Jr licha ya kufanana sana na baba yake alipatia kuigiza. Ni drama ila ukiwa unaitizama utadhani ni thriller vile ilivyo kasi na wala hautakuwa na fujo za ku-forwad, ni somo zuri kwa wale wafuatiliaji wa hip hop kupata idea kuwa harakati zilikuaje kipindi hicho nchini Marekani.
                                                                                    
                                                                                        9




 

 8

 

 7

 

 6

 

5

 


4

 

3

 

 2

 

1

 


No comments:

Post a Comment