Monday, 18 January 2016

OZIL ALIPOZI HOME AKIFUATILIA GAME KATI YA ARSENAL NA STOKE CITY

Injury ruled Mesut Ozil out of Arsenal’s clash against Stoke on Sunday - so he cheered them on from home
 
 kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil, akiwa nyumbani kwake akifuatilia mchezo kati ya Stoke City v Arsenal siku ya Jumapili. Ozil hakuweza kucheza kutokana na jeraha la mguu. Pengine kutokana na baridi kali iliyokuwepo kwenye uwanja wa Brittania, aliamua kukaa nyumbani akifuatilia mchezo huo akiwa na mbwa wake- Balboa. Ozil ametweet picha hii na kusema ana matumaini ya kurejea uwanjani katika mechi dhidi ya Chelsea, Jumapili ijayo.

No comments:

Post a Comment