Oxfam ilifanyia makadirio utajiri wa pesa taslim na mali yenye thamanai ya dola 68,800 sawa na na pauni 48,300 kuingia katika kundi la kwanzai la asilimia 10 ya matajiri na dola 760,000 au pauni 533,000 kungia katika asilimia moja ya matajiri.
Oxfan inazitaka serikali kuchukua hatua ili kupunguza pengo lililopo kati ya watu matajiri na maskini.
Pia inataka kumalizika kwa pengo kwa mishahara kwa misingi ya jinsia, kifidia wale hawajalipwa na kuwepo usawa wa urithi kati wa wanaume na wanawake.
No comments:
Post a Comment