Wednesday, 13 January 2016

Sina mpango wa kufuta Tattoo ya shilole lakini nimesikitika kwasababu amefuta yangu – Nuh Mziwanda

Image result for NUH NA TATTOO YA SHILOLE

Nuh Mziwanda amedai mbali ya kuachana na Shilole lakini hana mpango wa kufuta tattoo ya mrembo huyo.
Nuh amesema amesikitishwa na kitendo cha Shilole kufuta tattoo yake mara tu baada ya kuachana,
“Kiukweli nimesikitika sana hata kama tumeachana mimi mbona sijafuta tattoo zake na sina mpango wa kuzifuta kwa sasa”Alisema NuhHata hivyo Shilole alipoulizwa kuhusiana na alichokisema Nuh alisema kuwa mbona Nuh aliwahi kuwapost mademu zake wapya mara tu baada ya kuachana.
“Mimi nimewahi kufuta tattoo kwa sababu yeye alianza kuwapost mademu zake wapya Instagram baada ya kuachana” Alisema Shilole.

 Image result for NUH NA TATTOO YA SHILOLE




.

No comments:

Post a Comment