URA ya Uganda wamebeba Mapinduzi Cup baada ya kuitwanga Mtibwa Sugar ya Tanzania Bao 3-1 katika Fainali iliyochezwa Jana Usiku huko Amaan Stadium, Zanzibar.
Mbali ya kutwaa Kombe, URA pia wamepewa Shilingi Milioni 10 kama Mabingwa na Mtibwa Sugar kupata Shilingi Milioni 5 kama Washindi wa Pili.
Hadi Haftaimu, URA walikuwa mbele kwa Bao 1-0 kwa Bao la Julius Ntambi.
URA walipiga Bao zao nyingine mbili kupitia Peter Lwasa, alietokea Benchi, na kufunga katika Dakika za 85 na 88.
Bao pekee la Mtibwa lilifungwa na Jaffar Salum, alietoka Benchi, na kufunga katika Dakika ya 90.
MAPINDUZI CUP
KUNDI A:
Namba |
Timu |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Simba |
3 |
2 |
1 |
0 |
4 |
2 |
2 |
7 |
2 |
URA |
3 |
2 |
0 |
1 |
4 |
2 |
2 |
6 |
3 |
JKU |
3 |
1 |
0 |
2 |
4 |
4 |
0 |
3 |
4 |
Jamhuri |
3 |
0 |
1 |
2 |
2 |
6 |
-4 |
1 |
Namba |
Timu |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Yanga |
3 |
2 |
1 |
0 |
6 |
2 |
4 |
7 |
2 |
Mtibwa Sugar |
3 |
1 |
1 |
1 |
3 |
3 |
0 |
4 |
3 |
Mafunzo |
3 |
1 |
0 |
2 |
2 |
5 |
-3 |
3 |
4 |
Azam FC |
3 |
0 |
2 |
1 |
3 |
4 |
-1 |
2 |
**Mechi zote kuchezwa Amaan Stadium, Zanzibar
Jumapili Januari 3
Yanga 3 Mafunzo 0
Mtibwa Sugar 1 Azam FC 1
Jumatatu Januari 4
JKU 1 URA 3
Simba 2 Jamhuri 2
Jumanne Januari 5
Mafunzo 0 Mtibwa Sugar 1
Azam FC 1 Yanga 1
Jumatano Januari 6
Jamhuri 0 JKU 3
URA 0 Simba 1
Alhamisi Januari 7
Azam FC 1 Mafunzo 2
Mtibwa Sugar 1 Yanga 2
Ijumaa Januari 8
Jamhuri 0 URA 1
Simba 1 JKU 0
Nusu Fainali
Jumapili Januari 10
Simba 0 Mtibwa Sugar 1
Yanga 1 URA 1 [URA Mshindi Penati 4-3]
Fainali
Jumatano Januari 13
Mtibwa Sugar 1 URA 3
No comments:
Post a Comment