BA0 5 za Kipindi cha Kwanza zimewapa ushindi wa Bao 5-1 Real Madrid waliokuwa kwao Santiago Bernabeu wakicheza na Sporting Gijon katika Mechi ya La Liga.
Bao hizo 5 za Real zilufungwa na Gareth Bale, Bao 1, Cristiano Ronaldo na Karim Benzema waliofunga Bao 2 kila mmoja.
Gijon walifunga Bao lao pekee Kipindi cha Pili kupitia Lopez Isma.
Real Madrid 5
-Gareth Bale Dakika ya 7
-Cristiano Ronaldo 9
-Karim Benzema 12
-Cristiano Ronaldo 18
-Karim Benzema 41
Sporting Gijon 1
-Lopez Isma Dakika ya 62
No comments:
Post a Comment