Picha,Jux na Vee Money wapo likizo,wanakula bata mbugani.Zitazame hapa.
Kupitia mtandao wa instagram moja ya couple inayopendwa Tanzania ya
Jux na Vee Money wamekua wakipost picha mfululizo kuonyesha kwamba wapo
likizo kwenye mbuga za serengeti.Tazama picha zao..
No comments:
Post a Comment