RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku
JUMANNE 23 FEB 2016
Arsenal v Barcelona
Juventus v Bayern Munich
JUMATANO 24 FEB 2016
Dynamo Kiev v Man City
PSV Eindhoven v Atletico Madrid
BAADA ya Jumanne kupigwa Mechi 2, Jumatano pia zipo Mechi 2 za kwanza za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, wakati Dynamo Kiev ikiikaribisha Man City huko Ukraine na PSV Eindhoven kuwa Wenyeji huko Uholanzi wa Atletico Madrid.
Dynamo Kiev hawajafungwa katika Mechi 9 za Mashindano ya Klabu Ulaya na washawahi kuwachapa City 2-0 Mwezi Machi 2011.
Nao PSV, wakiwa kwao Uholanzi, wamefungwa Mechi 2 tu na Klabu za Spain katika Mechi 12 na katika hizo 2 waliwahi kuchapwa 3-0 na Atletico Madrid.
Mechi hizi 2 za Jumatano, bila shaka, zitaamuliwa na ule usemi maarufu: ‘Mcheza kwao hutuzwa!”
UEFA CHAMPIONZ LIGI
RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
**Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku isipokuwa inapotajwa
Marudiano
**Kwenye Mabano Matokeo Mechi za Kwanza
JUMANNE 8 MAR 2016
Real Madrid v AS Roma [2-0]
VfL Wolfsburg v KAA Gent [3-2]
JUMATANO 9 MAR 2016
2000 Zenit St Petersburg v Benfica [0-1]
Chelsea v Paris St Germaine [1-2]
JUMANNE 15 MAR 2016
Atletico Madrid v PSV Eindhoven
Man City v Dynamo Kiev
JUMATANO 16 MAR 2016
Barcelona v Arsenal
Bayern Munich v Juventus
TAREHE MUHIMU:
Raundi za Mtoano:
-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy
No comments:
Post a Comment