Mzee huyu kwa jina Mbah Ghoto kutoka Indonesia anaamini ndiye binadamu mzee zaidi kuwahi kuishi duniani.
Thursday, 8 September 2016
Beyonce ashauriwa kupumzisha sauti yake
| Beyonce ashauriwa kupumzisha sauti yake |
Mwanamuziki Beyonce
ameahirisha tamasha lake la New Jersey kwa jina World Tour baada ya
madaktari kumshauri kupumzisha sauti yake.
Mwanamke avunja rekodi ya ndevu ya Guinness World Record
| Harnaam Kaur anasema kwa miaka mingi amekejeliwa kwa sababu ya ndevu zake |
Mwanamitindo mwenye
ndevu za urefu wa inchi sita ametambuliwa na Guinness World Record kuwa
mwanamke wa umri mdogo zaidi duniani kuwa ndevu zilizokomaa kabisa.
Wednesday, 7 September 2016
RAIS MUSEVENI AWASILI DAR TAYARI KWA MKUTANO WA VIONGOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Mwenyekiti
wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli
akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mh. Yoweri Kaguta
Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7,
2017 jioni tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo leo
Syria kumaliza mapigano
Askari upande wa upinzani akijihami
Makundi
ya upinzani nchini Syria yametoa mapendekezo ya kina juu ya kumaliza
mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yaliyodumu kwa zaidi ya kipindi cha
miaka mitano.
SIMBA 2-1 RUVU SHOOTING FULL TIME 'LIVE' KUTOKA UWANJA WA UHURU
Dakika 90 + 2: Mwamuzi anamaliza mchezo. Simba inapata ushindi wa mabao 2-1.
Subscribe to:
Posts (Atom)
