Wednesday, 7 September 2016

RAIS MUSEVENI AWASILI DAR TAYARI KWA MKUTANO WA VIONGOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

muse1


Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo leo

muse2
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake  huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017  jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo leo.
muse3
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo leo
muse4
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo leo
muse5

No comments:

Post a Comment