Wednesday, 24 August 2016

VIDEO: Alichokizungumza Kingunge Ngombale Mwiru kuhusu Serikali na CHADEMA


August 24 2016 Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amekutana na waandishi wa habari na kutumia nafasi hiyo kuwaomba wazee ambao walikuwa viongozi wakubwa kuanzia kipindi cha mwalimu mpaka awamu ya nne, bara na visiwani kuomba kukutana na Rais Magufuli wamuombe aitishe kikao cha mazungumzo kati ya serikali na chama kikuu cha upinzani CHADEMA.

Aidha ameongeza kuwa endapo Rais Magufuli atakubali kuitisha kikao watawageukia CHADEMA wasitishe mpango wao wa UKUTA kuepusha shari itakayoweza kutokea.


No comments:

Post a Comment