YANGA YAIOMBA MSAMAHA SIMBA KUELEKEA MECHI NA TP MAZEMBE.
Kuelekea mchezo wao dhidi TP MAZEMBE kutoka Jamhuri ya watu wa
Congo,Uongozi wa Yanga chini ya afisa habari na mawasiliano Jerry Muro
wamewapigia goti timu na mashabiki wa Simba na kuiomba support yao
katika mchezo huo.na pia waliwaalika viongozi wa matawi wa simba ili
kufikisha ujumbe huo.
Pata uhondo huo.
No comments:
Post a Comment