Thursday, 2 June 2016

VideoMPYA: Rich Mavoko ametuletea video yake mpya ‘Ibaki Story’

Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea video mpya inaitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie na comment yako mtu wa nguvu


No comments:

Post a Comment