Hizi
ni picha za jumba wanaloishi wasanii wakubwa duniani Beyoncé na Jay-Z
wakiwa mjini New Orleans. Mwaka 2015 gazeti la New Orleans Times-Picayune
lilitoa ripoti kuwa Jay na Bey wamenunua nyumba hio New Orleans na wana
nyumba pia kwenye miji ya New York, Los Angeles, Hawaii, na Hamptons.
Pia dada yake Beyoncé ‘Solange’ husema New Orleans ni nyumbani kwake pia.
No comments:
Post a Comment