Ivan Perisic |
>>RAUNDI YA MTOANO NI ITALY v SPAIN!!
EURO 2016
Matokeo:
Jumanne Juni 21
KUNDI C, Ukraine 0 Poland 1
KUNDI C, Northern Ireland 0 Germany 1
KUNDI D, Czech Republic 0 Turkey 2
KUNDI D, Croatia 2 Spain 1
Croatia Leo wametoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuwafunga Mabingwa Watetezi Spain 2-1 katika Mechi ya mwisho ya Kundi D la EURO 2016 Mashindano yanayochezwa Nchini France na kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 wakiwa vinara wa Kundi hilo.
Spain wameshika Nafasi ya Pili lakini wao walikuwa wameshafuzu kabla ya Mechi hii baada ya kushinda Mechi zao 2 za kwanza.
Turkey, ambao nao Leo waliichapa Ukraine, 2-0 wameshika Nafasi ya 3 na sasa wanangoja Matokeo ya Mechi za mwisho za Makundi E na F kuona kama watapata Tiketi moja kati ya 4 za Timu zitakazomaliza Nafasi za 3 Bora toka Makundi yote 6 na kutinga Mtoano.
TIMU ZILIZOFU KUINGIA RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
-KUNDI A: France, Switzerland
-KUNDI B: Wales, England
-KUNDI C: Germany, Poland
-KUNDI D: Croatia, Spain
-KUNDI E: Italy
-KUNDI F: Hungary
-TIKETI 4 WASHINDI WA 3 BORA: Slovakia [Kundi B], Northern Ireland [Kundi D]++Bado Timu 2
**Bado Timu 4
**Washindi Wawili wa juu wa Kila Kundi na Timu 4 zilizomaliza Nafasi za Tatu Bora zitaingia Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Wakati Matokeo haya ya Turkey yamewanufaisha Northern Ireland kwa kupenya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 kutoka Kundi C
Wengine waliopenya kwa Tiketi hiyo ya Timu 4 zilizomaliza Nafasi za 3 Bora ni Slovakia toka Kundi B wakati Turkey sasa wanasubiri kumalizika kwa Mechi za Makundi E na F Jumatano Jioni.
Kwenye Mechi ya Spain na Croatia, Spain walitangulia kufunga Dakika ya 7 kupitia Alvaro Morata na Croatia kurudisha Dakika ya 45 kupitia Nikola Kalinic.
Spain walikosa Penati Dakika ya iliyopigwa na Sergio Ramos na kuokolewa na Kipa Subasic ambae sasa ameokoa Penati 5 kati ya 7 alizopigiwa mwisho.
Bao la ushindi la Croatia lilifungwa Dakika ya 87 na Ivan Perisic.
Ushindi wa Turkey dhidi ya Ukraine ulikuja kwa Bao za Dakika za 10 na 65 zilizofungwa na Burak Yimaz na Ozan Tufan.
Kwenye Raundi ya Mtoano ya Timu 16, Croatia itapambana na Mshindi wa 3 toka Kundi B, E au F wakati Spain itacheza na Mshindi wa Kundi E ambae ni Italy ambae anamaliza Mechi zake za Kundi Jumatano lakini hakuna Timu inayoweza kuwang’oa Nafasi yao ya Kwanza.
VIKOSI VILIVYOANZA:
Croatia: Subasic, Srna, Corluka, Jedvaj, Vrsaljko, Rog, Badelj, Perisic, Rakitic, Pjaca, Nikola Kalinic.
Akiba: Vargic, Strinic, Kovacic, Kramaric, Modric, Schildenfeld, Brozovic, Mandzukic, Coric, Vida, Cop, Lovre Kalinic.
Spain: De Gea, Juanfran, Pique, Sergio Ramos, Jordi Alba, Fabregas, Busquets, Iniesta, Silva, Morata, Nolito
Akiba: Casillas, Azpilicueta, Bartra, Koke, Lucas, Pedro, Bellerin, Thiago, San Jose, Bruno, Aduriz, Sergio Rico
REFA: Bjorn Kuipers (Holland)
EURO 2016
Ratiba/Matokeo
**Saa za Bongo
Ijumaa Juni 10
KUNDI A, France 2 Romania 1
Jumamosi Juni 11
KUNDI A, Albania 0 Switzerland 1
KUNDI B, Wales 2 Slovakia 1
KUNDI B, England 1 Russia 1
Jumapili Juni 12
KUNDI D, Turkey 0 Croatia 1
KUNDI C, Poland 1 Northern Ireland 0
KUNDI C, Germany 2 Ukraine 0
Jumatatu Juni 13
KUNDI D, Spain 1 Czech Republic 0
KUNDI E, Republic of Ireland 1 Sweden 1
KUNDI E, Belgium 0 Italy 2
Jumanne Juni 14
KUNDI F, Austria 0 Hungary 2
KUNDI F, Portugal 1 Iceland 1
Jumatano Juni 15
KUNDI B, Russia 1 Slovakia 2
KUNDI A, Romania 1 Switzerland 1
KUNDI A, France 2 Albania 0
Alhamisi Juni 16
KUNDI B, England 2 Wales 1
KUNDI C, Ukraine 0 Northern Ireland 2
KUNDI C, Germany 0 Poland 0
Ijumaa Juni 17
KUNDI E, Italy 1 Sweden 0
KUNDI D, Czech Republic 2 Croatia 2
KUNDI D, Spain 3 Turkey 0
Jumamosi Juni 18
KUNDI E, Belgium 3 Republic of Ireland 0
KUNDI F, Iceland 1 Hungary 1
KUNDI F, Portugal 0 Austria 0
Jumapili Juni 19
KUNDI A, Romania 0 Albania 1
KUNDI A, Switzerland 0 France 0
Jumatatu Juni 20
KUNDI B, Russia 0 Wales 3
KUNDI B, Slovakia 0 England 0
Jumanne Juni 21
KUNDI C, Ukraine 0 Poland 1
KUNDI C, Northern Ireland 0 Germany 1
KUNDI D, Czech Republic 0 Turkey 2
KUNDI D, Croatia 1 Spain 2
Jumatano Juni 22
KUNDI F, Iceland v Austria (1900, Stade de France)
KUNDI F, Hungary v Portugal (1900, Stade de Lyon)
KUNDI E, Italy v Republic of Ireland (2200, Stade Pierre Mauroy)
KUNDI E, Sweden v Belgium (2200, Stade de Nice)
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Jumamosi Juni 25
Switzerland v Poland (1600, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
Wales v Mshindi wa 3 KUNDI A/C/D (1900, Parc des Princes, Paris)
Croatia v Mshindi wa 3 KUNDI B/E/F (2200, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
Jumapili Juni 26
France v Mshindi wa 3 KUNDI C/D/E (1600, Stade de Lyon)
Germany v Mshindi wa 3 KUNDI A/B/F (1900, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Mshindi KUNDI F v Mshindi wa Pili KUNDI E (2200, Stadium de Toulouse)
Jumatatu Juni 27
Italy v Spain (1900, Stade de France, Paris)
England v Mshindi wa Pili KUNDI F (2200, Stade de Nice)
Robo Fainali
Alhamisi Juni 30
Robo Fainali ya 1, (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Ijumaa Julai 1
Robo Fainali ya 2, (2200, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumamosi Julai 2
Robo Fainali ya 3, (2200, Stade de Bordeaux)
Jumapili Julai 3
Robo Fainali ya 4, (2200, Stade de France, Paris)
Nusu Fainali
Jumatano Julai 6
Mshindi Robo Fainali ya 1 v Mshindi Robo Fainali ya 2 (2200, Stade de Lyon)
Alhamisi Julai 7
Mshindi Robo Fainali ya 3 v Mshindi Robo Fainali ya 4 (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Fainali
Jumapili Julai 10
(2200, Stade de France, Paris)
++++++++++++++++++++++++++++++
Viwanja 10 vya Mechi za Fainali:
Stade de Bordeaux, Bordeaux (Watu 42,000)
Stade Bollaert Delelis, Lens Agglo (35,000)
Stade Pierre Mauroy, Lille Metropole (50,100)
Stade de Lyon, Lyon (58,000)
Stade Velodrome, Marseilles (67,000)
Stade de Nice, Nice (35,000)
Parc des Princes, Paris (45,000)
Stade de France, Saint-Denis (80,000)
Stade Geoffroy Guichard, Saint-Etienne (41,500)
Stadium de Toulouse, Toulouse (33,000)
**Fainali itachezwa Stade de France
EURO 2016
MAKUNDI:
KUNDI A: France, Romania, Albania, Switzerland.
KUNDI B: England, Russia, Wales, Slovakia.
KUNDI C: Germany, Ukraine, Poland, Northern Ireland.
KUNDI D: Spain, Turkey, Czech Republic, Croatia.
KUNDI E: Belgium, Republic of Ireland, Sweden, Italy.
KUNDI F: Portugal, Iceland, Austria, Hungary.
Fainali zitafanyika lini:
-Euro 2016 itaanza Ijumaa Juni 10 na kumalizika Jumapili Julai 10.
-Hii ni mara ya kwanza kwa Fainali hizi kuwa na Timu 24 na hivyo itakuwepo Raundi ya Mtoano ya Timu 16, kisha Robo Fainali na Nusu Fainali.
No comments:
Post a Comment