Monday, 30 May 2016

UMEMALIZA KIDATO CHA NNE NA UNA D NNE BASI HII CHUO KINA KUHUSU.......

 Image result for elite tanga college


TANGA ELITE TEACHER'S COLLEGE/ KIMESAJILIWA NA NACTE NAMBA : REG/TLF/128.



              MUDA – MIAKA MITATU ( 3 )
( B) Stashahada ya kozi ya ualimu wa shule za msingi.                         ADA KWA MWAKA 850,000/=
        ( Ordinary diploma in primary school education )
              MUDA – MIAKA MITATU ( 3 )
( C ) Stashahada ya kozi ya ualimu wa elimu ya awali.                            ADA KWA MWAKA 850,000/=
        ( Ordinary diploma in Early child care and education )                        
               MUDA – MIAKA MITATU ( 3 )
( D ) Kujiendeleza stashahada kwa waalimu Daraja la III Waliopo kazini.
( E ) Basic technician certificate in social work – mwaka mmoja
SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO
(1 ) Uwe umemaliza kidato cha IV au kufaulu kiwango cha division III au zaidi.
( 2 ) Uwe umemaliza kidato cha IV au zaidi na kupata alama D zisizopungua nne ( 4 ).
( 3 ) Uwe umemaliza kidato cha VI na kuwa angalau na “principal 1 na subsidiary 1”.
AU Uwe umemaliza kidato cha IV na umesoma kozi ya mwaka mmoja yaani ( basic
Technician certificate  NTA-4 ) ya fani yeyote ya masomo ya sayansi ya jamii kama vile-
Sheria, ustawi wa jamii, uandishi wa habari. Kozi zote zinaanza rasmi mwezi Mei, 2016
Utaratibu wa kuomba unafanyika kupitia mfumo wa NACTE wa kudahili wanafunzi ( central admisission system –CAS ) ama kutuma maombi chuoni.

Mawasiliano zaidi piga . 0677- 025521, 0677- 025522, 0754- 233304, E- mail:tangaelite@yahoo.com, mkuu wa chuo , TETCO S.L.P. 5555. TANGA TANZANIA .Kwa wewe ambaye upo Iringa fomu zinapatikana  tupo msindo  jirani na uwanja wa samola mawasiliano zaidi ni 0764304104,  E- mail benadikikoti50@gmail.com

VITU MHIMU VYA KUWA NAVYO AU KUAMBATANISHA KWENYE MAOMBI NI .

- Passport size 2
- vyeti vyako
- cheti cha kuzaliwa
cheti cha matibabu kutoka katika hospitali ya serikali
- barua kutoka kwa mwajiri kama upo kazini

No comments:

Post a Comment