Waswahili wanasema bahati haiji mara mbili na wewe uliye maliza kidato
cha nne na kufanikiwa kupata D nne na waahitimu kidato cha sita wawe na
vyeti kutoka vyuo vinavyo tambuliwa na NACTE/ VETA pia wenye ufaulu
chini ya D nne wataanza na kozi ya foundation ili kuwajengea uwezo tuna
kukaribisha ili uweze kupata elimu bora mwaka huu 2016 ndani ya Royal
College of Tanzania na chuo hiki kinapatikana Urafiki Estate Ubungo Dar
Es Salaam.Na chuo kimesajiliwa na NACTE NO. REW/ PWF/ 004.
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO MWAKA 2016 KAMA IFUATAVYO
Facebook > benadi kikoti
Namba ya simu > 0764304104
Email >benadikikoti50@gmail.com
blog > nitafute kupitia HABARIKATZ
Kwa mawasiliano mengine soma tangazo hilo hapo juu
No comments:
Post a Comment