Wanasayansi nchini Afrika Kusini kwa ushirikiano na Chuo kikuu cha
Wits University (University of Witwatersrand) na Taasisi ya utafiti wa
anga na viumbe hai (The National Geographic Society) wamebaini mabaki ya
mifupa ya kiumbe kinachofanana kwa kiasi kikubwa na binadamu, ambayo
yalifukiwa chini ya ardhi zaidi ya miaka milioni iliyopita.
Mabaki ya kumbe hicho kilichopewa jina la NALEDI, yamepatikana karibu na Mji wa Johannesburg ambapo Kiumbe hicho kina mikono na miguu kama ya binadamu, ingawa maungo yake ni makubwa.
Mabaki ya kumbe hicho kilichopewa jina la NALEDI, yamepatikana karibu na Mji wa Johannesburg ambapo Kiumbe hicho kina mikono na miguu kama ya binadamu, ingawa maungo yake ni makubwa.
Ukubwa ya ubongo wa kiumbe hicho unashabihiana
kabisa na wa binadamu, huku hatua za miguu yake zikionekana kuwa kubwa
kidogo kuliko za binadamu.
No comments:
Post a Comment