2 Chainz na Lil Wayne wanaendelea kutoa maduda makali, hii kazi yao mpya “Gotta Lotta”kutoka kwenye album yao ya pamoja ya ColleGrove .
Kwenye hii album ya 2 Chainz ‘ColleGrove’ Weezy yupo kwenye nyimbo 8 katika nyimbo 12 za cd hii.
Kwenye hii album ya 2 Chainz ‘ColleGrove’ Weezy yupo kwenye nyimbo 8 katika nyimbo 12 za cd hii.
No comments:
Post a Comment