Thursday, 19 May 2016

Davido kuitambulisha lebel yake binafsi ijumaa hii.


Baada ya wiki kadhaa kupita toka Davido atangaze ujio wa lebel yake binafsi, staa huyu ameweka wazi kuwa Ijumaa ya May 20 2016 ataitambulisha rasmi lebel hii kwa kutoa wimbo wa wasanii wake.
Davido Music Worldwide itazinduliwa kwa kutoa video ya wasanii wa lebel hii ya ‘Back to Back’ ikiwa na wasanii wa HKN GANG, Dremo na Mayorkun
Mayorkun ni msanii wa Davido aliyetoa “Eleko” iliyotazama na watu zaidi ya milioni moja ndani ya wiki moja na kufanya vizuri kwenye tv na radio.

No comments:

Post a Comment