Bongo Fleva staa Ommy Dimpoz ameniambia kuwa baada ya kumtambulisha msanii wake wa PKP [Poz kwa Poz] basi katikati ya mwezi wa tano na sita atatoa video na suprise collabo na msanii ambay bado hajamtaja kwa sasa.
Wimbo wa mwisho kutoka kwa Ommy Dimpoz ulikuwa Achia Body mwaka 2015.
No comments:
Post a Comment