Mfanyabiashara tajiri wa Iran, Babak Zanjani, amepatikana na hatia ya ufisadi, na kuhukumiwa kifo.
Bwana
Zanjani alikamatwa mwaka wa 2013, baada ya kutuhumiwa kuwa alichukua
dola bilioni moja nukta 9 za pato la taifa, kutokana na mafuta.Alikanusha tuhuma hizo.
Alikiri kuwa alitumia makampuni kadha katika Umoja wa falme za Imarati, Uturuki na Malaysia, kuuza mamilioni ya mapipa ya mafuta ya Iran, kwa niaba ya serikali.
No comments:
Post a Comment