Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa
Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshuhudia Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akiweka sahihi katika hati ya
kiapo mara baada ya kuapa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini
Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisaini hati ya kiapo cha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya
kumuapisha kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam
leo Machi 28, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi nyenzo za kazi Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya
kumuapisha kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam
leo Machi 28, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe Samia suluhu Hassan, Waziri
Mkuu Mhe Kassim na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa baada ya kumuapisha
kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi
28, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipeana mikono na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya
kumuapisha kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam
leo Machi 28, 2016. Kulia ni mume wa mkuu huyo wa Mkoa Bw. Juma` Boma na
kushoto ni bintiye.
No comments:
Post a Comment