Monday, 7 March 2016

Nyimbo,Mashairi na mawazo ya 2 Pac ya video ambayo hayajawahi kusikika kuuzwa hivi karibuni.

2pac

Mtandao wa udaku nchini Marekani umesema kitabu chenye mashairi ya 2 Pac pamoja na mawazo ya utengenezwaj iwa video tofauti kinakaribia kuuzwa kwenye mnada mkubwa.
Kitabu hichi kitauzwa na cd zenye muziki ambao bado haujatoka wa 2 Pac. Wazo la video kwenye kitabu hicho ni pamoja na jinsi ya kutengeneza video ya “Point The Finga.”
Kitabu hichi chenye muandiko wa Tupac kitauzwa na  Moments in Time,  duka hilo hilo lililouzwa barua ya Tupac aliyoandika akiwa jela kwa dola $225,000.
Mama yake Tupac ‘Afeni Shakur’ atajaribu kuzuia mauzo hayo sababu yeye na familia yake wananjia tofauti ya kuuza vitu vya Tupac.

No comments:

Post a Comment