Monday, 14 March 2016
NIMEKUWEKEA MATOKEO YA LIGI KUU ENGLAND LEICESTER AENDELEA KUTESA ENGLAND
VINARA wa Ligi Kuu England, Leicester, wakicheza kwao King Power Stadium na Newcastle inayosuasua ikicheza kwa mara ya kwanza chini ya Meneja wao mpya Rafa Benitez walishinda Bao 1-0 na kurudisha uongozi wao wa Ligi Kuu England kuwa na pengo la Pointi
5
Bao la Leicester City lilifungwa katika Dakika ya 25 kwa tikitaka ya Shinji Okazaki.
Leicester sasa wamebakisha Mechi 8 kumaliza Ligi na wako mbele ya Timu ya Pili Tottenham Hotspur kwa Pointi 5 huku Arsenal wakiwa Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 11 ya Vinara hao.
VIKOSI:
Leicester City: Schmeichel; Simpson, Huth, Morgan, Fuchs; Mahrez, Kante, Drinkwater, Albrighton; Okazaki, Vardy
Akiba: Schwarzer, Wasilewski, Amartey, Inler, Gray, Schlupp, Ulloa.
Newcastle United: Elliott; Janmaat, Taylor, Lascelles, Colback; Sissoko, Anita, Shelvey, Perez; Wijnaldum; Mitrovic
Akiba: Darlow, Sterry, Saivet, Townsend, De Jong, Riviere, Doumbia
REFA: Craig Pawson
LIGI KUU ENGLAND
**Saa za Bongo
Jumamosi Machi 19
1545 Everton v Arsenal
1800 Chelsea v West Ham
1800 Crystal Palace v Leicester
1800 Watford v Stoke
1800 West Brom v Norwich
2030 Swansea v Aston Villa
Jumapili Machi 20
1630 Newcastle v Sunderland
1630 Southampton v Liverpool
1900 Man City v Man United
1900 Tottenham v Bournemouth
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment