BAO la Dakika ya 66 la Jose Salomon Rondon limewapa West Bromwich Albion ushindi wa 1-0 walipocheza na Man United huko The Hawthorns na huo ni ushindi wa kwanza kwao katika Historia ya Ligi Kuu England.
Ushindi huo ulichangiwa hasa na Man United kucheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 25 baada ya Juan Mata kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu baada ya kulambwa Kadi za Njano 2 ndani ya Dakika 3 tu zote zikiwa ni sababu ya upuuzi wake binafsi.
Kipigo hiki kimewashusha Man United hadi Nafasi ya 6 wakati WBA
VIKOSI:
West Bromwich Albion: Foster; Dawson, McAuley, Olsson, Chester; Yacob, Fletcher, Gardner; Sessegnon, Rondon, Berahino
Akiba: Anichebe, Myhill, McClean, Pocognoli, Lambert, Pritchard, Sandro.
Manchester United: De Gea; Darmian, Smalling, Blind, Rojo; Carrick, Herrera; Lingard, Mata, Martial; Rashford
Akiba:Romero, Fosu-Mensah, Varela, Schneiderlin, Weir, Fellaini, Memphis.
REFA: Mike Dean
No comments:
Post a Comment