Rapa Kanye West
ametumia instagram yake kutufahamisha kuwa wimbo wake bora zaidi mwa
2015 ulikuwa wimbo wa What do you mean wa pop Justin Bieber, kutoka
kwenye album yake ya Purpose.
Kanye West aliandika twitter “What do you mean by @justinbieber was my favorite song of 2015.Hii imekuja kama shavu kubwa kwa Justin sababu kila msanii angependa Kanye aseme hivi kuhusu wimbo wake.
KANYE WEST ✔ @kanyewest
What do you mean by @JustinBieber was my favorite song of 2015
No comments:
Post a Comment