Monday, 28 March 2016

Jose Chameleone asema huyu ndio msanii anayemkubali Uganda kwenye live shows.

jose
Staa wa muziki Uganda Jose Chameleone aka Joseph Mayanja ambaye ni bosi wa Leone Island amefunguka hivi karibuni kuwa msanii anayemkubali Uganda ni MADOX SEMATIMBA.
Jose Chameleone amesema haya wakati akishukuru watu wa Kampala Blankets na Wines!!!!! Sijawahi ona show kali kama hii nikiwa kwenye Pasaka na familia yangu na My favorite Ugandan Artiste Live- MADOX SEMATIMBA. May God bless you brother. I felt the music. I lost Chameleone – Joseph took control!!! ”
madox

No comments:

Post a Comment