Sunday, 6 March 2016

BAO LA LYANGA LILIFUFUA MATUMAINI YA SIMBA MBELE YA MBEYA CITY (Video)

Awadh Juma akipongezana na Danny Lyanga baada ya Simba kufunga bao la kwanza



Awadh Juma akipongezana na Danny Lyanga baada ya Simba kufunga bao la kwanza
Danny Lyanga akiingia kipindi cha pili kutoka benchi, aliifungia Simba bao la kwanza na la kuongoza katika mchezo dhidi ya Mbeya City ambapo Simba iliweza kuifunga kwa bao 2-0 timu hiyo ya mkoani Mbeya.
Lyanga alifunga bao hilo akimalizia mpira uliotemwa na golikipa wa Mbeya City Hannington Kalyesebula kufuatia shuti kali lililopigwa na Awadhi Juma.
Kama haukupata fusra ya kushuhudia bao hilo, Dauda TV inakupa fursa ya kulishuhudia bao hilo lililofungwa dakika ya 75 kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment