Jana kwenye Mechi ya Kundi G la Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2017, iliyochezwa huko Kaduna, Wenyeji Nigeria walitoka Sare 1-1 na Egypt.
Matokeo hayo yamewabakisha Egypt kileleni mwa Kundi G wakiwa na Pointi 7 kutoka Mechi 3 wakifuata Nigeria wenye Pointi 5, Tanzania Pointi 4 na mkiani ni Chad ambao wana Pointi 0.
Mechi zifuatazo za Kundi G ni Jumatatu wakati Tanzania itaikaribisha Chad Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam wakati Jumanne ni huko Borg El Arab Stadium Mjini Alexandria Egypt ikicheza na Nigeria.
Kwenye Mechi ya Jana, Nigeria walitangulia kufunga kwa Bao la Oghenekaro Etebo alienasa Shuti la Kelechi Iheanacho lililotemwa na Kipa na kufunga katika Dakika ya 60 na Egypt kusawazisha Dakika ya 90 kwa Bao Mohammed Salah.
Majuzi huko Uwanja wa Idriss Mahamat Ouya Mjini N’Djamena, Straika wa Tanzania, Mbwana Samatta, alifunga Bao pekee na la ushindi wakati Nchi yake Tanzania ikiwafunga Wenyeji Chad Bao 1-0.
VIKOSI:
Nigeria: Carl Ikeme, Stanley Amuzie, Efe Ambrose, Godfrey Oboabona, Shehu Abdullahi, John Obi Mikel, Etebo Oghenekaro, Kelechi Iheanacho, Moses Simon, Ahmed Musa, Odion Ighalo
Egypt: Ahmed
El-Shennawi, Omar Gaber, Rami Rabia, Ahmed Hegazy, Hamada Tolba,
Ibrahim Salah, Mohamed Elneny, Abdallah El-Said, Mahmoud 'Trezeguet',
Ahmed Hassan 'Kouka', Mohamed Salah
AFCON 2017
MAKUNDI:
KUNDI A: Tunisia, Togo, Liberia, Djibouti
KUNDI B: Madagascar, DRC, Angola, CAR
KUNDI C: Mali, Equatorial Guinea, Benin, South Sudan
KUNDI D: Burkina Faso, Uganda, Botswana, Comoros
KUNDI E: Zambia, Congo, Kenya, Guinea Bissau
KUNDI F: Cape Verde, Morocco, Libya, Sao Tome
KUNDI G: Nigeria, Egypt, Tanzania, Chad
KUNDI H: Ghana, Mozambique, Rwanda, Mauritius
KUNDI I: Cote d’Ivoire, Sudan, Sierra Leone, Gabon
KUNDI J: Algeria, Ethiopia, Lesotho, Seychelles
KUNDI K: Senegal, Niger, Nambia, Burundi
KUNDI L: Guinea, Malawi, Zimbabwe, Swaziland
KUNDI M: Cameroon, South Africa, Gambia, Mauritania
MFUMO:
-Makundi yapo 13 ambapo 12 yana Timu 4 na moja lina Timu 3 lakini Wenyeji Gabon, ambao wanafuzu moja kwa koja kucheza Fainali, wamechomekwa Kundi hilo [KUNDI I] ambapo Mechi zao ni za Kirafiki tu.
-Mshindi wa kila Kundi [Washindi 13] na Timu 2 zitakazomaliza Nafasi za Pili Bora zitatinga Fainali kuungana na Wenyeji Gabon na kufanya Jumla ya Timu 16.
AFCON 2017
RATIBA
Mechi za Makundi
**Saa za Bongo
Jumamosi Machi 26
Mauritius v Rwanda [Belle Vue] 16:00
Burundi v Namibia [Prince Louis Rwagasore] 16:00
Congo DR v Angola [Stade des Martyrs de la Pentecote] 16:30
Cape Verde v Morocco [Praïa , Praïa] 17:00
Cameroon v South Africa [Stade Municipal de Limbe] 17:30
Seychelles v Lesotho [Stade Linite] 17:30
Senegal v Niger [Stade Léopold Sédar Senghor] 20:00
Burkina Faso v Uganda [Ouagadougou] 21:00
Jumapili Machi 27
Mozambique v Ghana [Estádio Nacional do Zimpeto] 17:00
Kenya v Guinea-Bissau [Nyayo National Stadium] 17:00
Congo v Zambia [Stade Alphonse Massamba-Débat] 18:30
Jumatatu Machi 28
Liberia v Djibouti
Togo v Tunisia
Central African Republic v Madagascar
Benin v South Sudan
Equatorial Guinea v Mali
Botswana v Comoros
Uganda v Burkina Faso
Libya v Sao Tome
Morocco v Cape Verde
Tanzania v Chad
Rwanda v Mauritius
Sierra Leone v Gabon
Sudan v Ivory Coast
Lesotho v Seychelles
Ethiopia v Algeria
Namibia v Burundi
Niger v Senegal
Malawi v Guinea
Gambia v Mauritania
Zimbabwe v Swaziland [National Sports Stadium] 16:00
Jumanne Machi 29
Angola v Congo DR [Estádio 11 de Novembro] 20:00
Egypt v Nigeria [Borg El Arab Stadium] 21:00
South Africa v Cameroon [Moses Mabhida Stadium] 21:00
MSIMAMO WA MAKUNDI:
NCHI ZILIZOWAHI KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA:
-Egypt-Mara 7
-Cameroon, Ghana-Mara 4
-Nigeria-Mara 3
-Congo DR-Mara 2
-Zambia, Algeria, Congo, Ethiopia, Ivory Coast, Morocco, South
No comments:
Post a Comment