Monday, 8 February 2016

DRC Congo mabingwa wa Mashindano ya CHAN

Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetwaa ubingwa wa kombe la Chan baada ya kuichapa Mali kwa mabao 3-0.
PORT ELIZABETH, SOUTH AFRICA - JANUARY 24:  DR Congo players line up before the 2013 African Cup of Nations match between Niger and DR Congo at Nelson Mandela Bay Stadium on January 24, 2013 in Port Elizabeth, South Africa.  (Photo by Richard Huggard/Gallo Images/Getty Images)
Magoli ya ushindi yalifungwa mchezaji Mechak Elia aliyefunga mara mbili, huku mshambuliaji Jonathan Bolingi akifunga bao moja.
Na huu ni ubingwa wa pili kwa timu ya taifa ya Dr Congo chini ya mwalimu Florent Ibenge kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani.
Nayo timu ya taifa Ivory Coast imemaliza katika nafasi yaa tatu katika michuano hiyo baada ya kuichapa Guinea kwa Mabao 2-1

No comments:

Post a Comment