Behind The Scenes: Tazama utengenezaji wa video mpya ya Navy kenzo ‘Kamatia’
Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Aika na Nahreel
wanafanya vizuri na wimbo wao mpya ‘Kamatia’ uliotoka wiki mbili
zilizopita, Hii ni video ya utengenezaji ‘Behind the scene’ ya video ya
wimbo huo, Itazame hapo juu
No comments:
Post a Comment