Saturday, 2 January 2016

VAN GAAL ; WASHAMBULIAJI WANANIKOSESHA RAHA KATIKA KAZI YANGU

Image result for van gaal

Manchester united imeibuka na ushindi wa goli 20 - 1 dhidi ya Swansea city mtanange uliopigwa katika uwanja wa old trafford wafungaji wa magoli wakiwa Anthony martial dakika ya 48 na
Wayne Rooney kunako dakika ya 77.

Lakini hata hivyo kocha van gaal amesema kitendo cha kucheza michezo nane bila ushindi amesema washambuliaji wake wanamfanya asijisikie vizuri .

Na amesema kwa rooney kufunga goli zuri siku ya leo anaamini atarudi kwenye kiwango chake na atafanya vizuri.

No comments:

Post a Comment