Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akishiriki katika Matembezi ya Bonaza la Wanamichezo wa Zanzibar
akiongoza matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya Matumbnaku
Miembeni na kumalizia katika viwanja vya Amaan Zanzibar kutoka kulia
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdalla Mwinyi Khamis, Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mwenyekiti wa Baraza la
Michezo Zanzibar Bi Shariff Khamis Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Mwenyekiti wa Umoja Mazoezi
Zidi , Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Bihindi
Hamad, Waziri wa Kilimo na Mali Asili Mhe Sira Ubwa Mwaboya na Mkuu wa
Wilaya ya Magharibi B Ayoub Mohammed Mahmoud.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akipokea matembezi ya Wanamichezo mbalimbali walioshiriki matembezi hayo
ya Kitaifa ya Bonaza la Michezo Zanzibar yaliowashirikisha Wanamichezo
kutoka Ungua Pemba na Dar es Salaam wakiingia katika viwanja vya Amaan
kumalizia matembezi hayo na kumalizia katika viwanja vya Amaan Zanzibar
kwa ajili ya mazoezi ya viungo.(P.T)
No comments:
Post a Comment