Bado presha kwa kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal inazidi kuongezeka baada ya kurudi tena katika headlines za magazeti ya Uingereza ambayo kwa kiasi kikubwa huwa yanaandika vitu ambavyo wamevifanyia uchunguzi. Louis van Gaal amerudi front page ya gazeti la Mirror kuwa safari ya kuondoka Man United ipo karibu.
Stori kutoka Mirror zinapata nguvu
kutokana na gazeti hilo kuziita exclusive kitu ambacho kinatajwa kuwa
huenda wamevujishiwa stori kutoka ndani ya Man United, stori kutoka Mirror pia zinaeleza baada ya Louis van Gaal kuwa na msimu mbaya ndani ya Man United alimuomba mara mbili CEO wa Man United Ed Woodward avunje mkataba miezi kadhaa nyuma baada ya kufungwa na Norwich na Stoke City
No comments:
Post a Comment