Wednesday, 20 January 2016

HUYU SHABIKI AFUNGA NDOA AKIVAA JEZI YA ARSENAL

Fan


Shabiki mmoja wa arsenal ameteka vyombo vya habari kote duniani baada ya kufanya kitu cha utofauti kutokana na maamuzi yake aliyoyafanya kwa kufunga ndoa huku akivaa jezi ya arsenal juu hadi chini.

malengo ya kufanya hivyo ni kudhibitisha ushabiki wake na klabu yake ya arsenal.




No comments:

Post a Comment