Rais Magufuli amteua Kikwete kuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam, UDSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, UDSM.
No comments:
Post a Comment