Mkongwe wa muziki nchini Tanzania maarufu kama Juma Nature ambaye anatokea kundi la wanaume Halisi, mwenye miondoko yake ya ki-Cartoon, kwenye tasnia ya muziki wa Hip Hop Tz ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Kida luso’ akiwa na Cannibal. Take your time to Enjoy with us the good music here.
No comments:
Post a Comment