Thursday, 7 January 2016

PICHA ZA AWALI KUTOKA HUKO NIGERIA KWENYE UKUMBI WA TUZO ZA CAF NA WAKALI WENZAKE



Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa mshambuliajinwa Gabon, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa mjini Abuja, Nigeria usiku huu wakati hafla ya Tuzo za Wachezaji Bora wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 2015. Samatta wa TP Mazembe ya DRC anawania tuzo ya Mchezaji Bora Anayecheza Afrika na Aubameyang wa Borussia Dortmund ya Ujerumani, anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika
Samatta akiwa mchezaji mwenzake wa TP Mazembe ya DRC, Robert Kidiaba ambaye naye anawani tuzo ya Mchezaji Bora Anayecheza Afrika
Mezani ni wachezaji, marefa na makocha walioingia fainali ya tuzo za CAF

No comments:

Post a Comment