Mbunge
wa jimbo la Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa ameahidi kushughulikia
changamoto mbalimbali zinazowakabili wanajimbo la Iringa.
Mchungaji
Msigwa amesema wakati akizungumza na mtanddao huu wa habarika TZ na kuongeza kuwa mafanikio ya dhati yatafikiwa iwapo kila mmoja kwa nafasi
yake atawajibika ipasavyo katika kujiletea maendeleo
Pia msigwa amesema kuwa mafanikio
huenda kwa watu wanaoweza kuyatunza mafanikio.
No comments:
Post a Comment