Saturday, 2 January 2016

Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti asema hiivi

Picha zimeenea mitandaoni zikimuonesha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye ziara katika machinjio maarufu ya ng’ombe pamoja na mbuzi iliyopo eneo la Vingunguti Dar es Salaam.
Baada ya ziara hiyo Waziri Nchemba ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Twitter >>> ‘Machinjio- Vingunguti usiku huu,hatua za awali nakutana na upotevu wa kodi ya mifugo 1107 kwa siku moja.‘- @mwigulunchemba
Image00015 
 LAMECK II
  

 LAMECK

No comments:

Post a Comment