Monday, 11 January 2016

Lionel Messi mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.


January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa na Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo. FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.
2755020_xbig-lnd
Lionel Messi akiwa na tuzo yake ya 5 ya Ballon d’Or
Hii ni list ya washindi wa tuzo nyingine za FIFA kwa mwaka 2015
Kikosi bora
  • Golikipa: Manuel Neuer,
    Mabeki: Thiago Silva, Marcelo, Sergio Ramos, Dani Alves
    Viungo: Andres Iniesta, Luka Modric, Paul Pogba,
    Washambuliaji: Neymar, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo.
2754909_full-lnd
Kikosi Bora cha mwaka
zuri
  • Kocha bora wa mwaka Luis Enrique wa FC Barcelona
  • Wendell Lira wa klabu ya Atletico Goianiense ameshinda tuzo ya goli bora la mwaka
  • Mchezaji bora wa mwaka wa kike Carli Lloyd kutoka USA ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.
2754903_big-lnd
Zilianza kupigwa self wakati wa shughuli ya tuzo
d
Ronaldo akisalimiana na mke wa Lionel Messi anayeitwa Antonio pembeni Neymar.
12345
Ronaldo na Messi
2755024_full-lnd
Carli Lloyd na Lionel Messi wakiwa na tuzo zao
sa

No comments:

Post a Comment