Mashabiki
wa soka nchini wameungana leo katika jiji la Dar es Salaam kumshangilia
na kumpongeza mwanasoka nyota zaidi nchini Mbwana Samatta kutokana na
mafanikio makubwa aliyoyapata na kufanikiwa kutwaa tuzo ya Mwanasoka
Bora Afrika kwa wanaocheza Afrika. CHEKI MAPICHAAAAZZZ.
CHANZO SALEH JEMBE
No comments:
Post a Comment